Kujifungua Kwa Upasuaji,Chanzo chake ni nini?

Kujifungua Kwa Upasuaji,Chanzo chake ni nini? VITU VINAVYOCHANGIA MWANAMKE KUJIFUNGUA KWA UPASUAJI kumekuwa na Ongezeko kubwa la wanawake Kujifungua kwa Upasuaji hivi sasa.Hebu tuangalie baadhi ya sababu za tatizo hili; VITU VINAVYOCHANGIA MWANAMKE KUJIFUNGUA KWA UPASUAJI NI PAMOJA NA; 1. Mtoto kuwa mkubwa kuliko njia ya kupitia au Njia kuwa ndogo kiasi kwamba mtoto hawezi … Continue reading Kujifungua Kwa Upasuaji,Chanzo chake ni nini?