Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
Magonjwa

FAIDA ZA MTOTO MCHANGA KUBEUA

MTOTO+KUBEUA

• • • • • •

Watoto  wachanga wanaonyonya maziwa ya mama wengi  hawapati tatizo la gesi kwa wingi kama watoto wanaokunywa maziwa ya kopo (baby formula) ,sababu mtoto anaponyoya kwa chupa anaingiza hewa tumboni kwa wingi na inakuja kumuumiza tumbo. Ila mtoto anaenyonya ziwa la mama ni kiasi kidogo cha hewa kinachoingia tumboni.


Watoto wanatakiwa wasaidiwe kubeuwa baada ya kunyonyeshwa.  Inamsaidia; •Kutoa gesi baada ya kunyonya

•Kumwepusha na maumivu ya tumbo

•Kumwepusha kucheuwa na macheuwo kupitia puani


Mtoto anapomaliza kunyonyeshwa mweke begani ,mpige pige mgongoni taratibu kwa dakika chache mpaka umsikie amebeuwa. Epuka kumlaza kabla haja beuwa – kucheuwa baada ya kumnyonyesha sababu akicheuwa yatapitia puani na kumfanya ashindwe kupumua na kupata maumivu makali.


Muhimu umbebe kwa dakika 5-15 ndio umlaze.


 #drtareeq


KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.

Karibu Sana..!!!




Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass