Shirika la Afya Duniani(WHO)
-
Events
Chad yafanikiwa kuondoa Ugonjwa wa trypanosomiasis,WHO yatangaza
Hii ni Nchi ya 51 kutambuliwa na WHO kwa kutokomeza ugonjwa huu wa kitropiki uliosahaulika, Shirika la Afya Duniani (WHO)…
Read More » -
Elimu&Ushauri
Afya za watu bilioni 1.8 duniani matatani kwa kutokufanya Mazoezi – WHO
Je wewe ni mtu ambaye unafanya mazoezi? Kama la, ni vema ufahamu kuwa wewe ni sehemu ya watu bilioni 1.8…
Read More » -
Events
Angalizo utoaji wa Dawa za Semaglutides,baada ya dawa bandia kuongezeka
Hii ni notisi ya kwanza rasmi iliyotolewa na WHO baada ya kuthibitisha baadhi ya ripoti hizo. Katika taarifa yake kwa vyombo vya habari WHO…
Read More » -
Elimu&Ushauri
Faida ambazo huzijui Ukifanya mazoezi kila Siku
Faida ambazo huzijui Ukifanya mazoezi kila Siku Chini ya mwamvuli wa Wizara ya Afya, mtu ni Afya, mambo lukuki yalizungumzwa…
Read More » -
Utafiti
WHO: Zaidi ya wanawake 600,000 kuishi na matokeo mabaya ya UKEKETAJI
Inakadiriwa kuwa wasichana milioni 4.3 walikuwa hatarini kukabiliwa na ukeketaji mwaka 2023. Utafiti huo uliohusisha taarifa zilisowasilishwa na nchi pamoja…
Read More » -
News
Kwa mujibu wa WHO, ni karibu theluthi moja tu ya hospitali 36 zilizoko Gaza ndizo ambazo bado zinafanya kazi
#PICHA:Mama na bintiye wanapokea huduma katika Hospitali ya Kamal Adwan kaskazini mwa Gaza mnamo Aprili 2024. Huku mashambulizi ya mabomu…
Read More » -
Dawa
WHO yatoa orodha mpya ya bakteria sugu dhidi ya dawa
WHO yatoa orodha mpya ya bakteria sugu dhidi ya dawa Shirika la Afya Duniani (WHO) leo limetoa Orodha mpya ya…
Read More » -
News
WHO:Niger kukabiliwa na ongezeko kubwa la homa ya uti wa mgongo au meningitis
WHO:Niger kukabiliwa na ongezeko kubwa la homa ya uti wa mgongo au meningitis Niger ambayo mwaka huu inakabiliwa na ongezeko…
Read More » -
Utafiti
WHO Ripoti mpya: kuna uhusiano wa COVID-19 na unene au utipwatipwa kwa Watoto
WHO Ripoti mpya: kuna uhusiano wa COVID-19 na unene au utipwatipwa kwa Watoto Ripoti mpya iliyotolewa leo na shirika la…
Read More » -
Utafiti
Uingereza:Unywaji wa pombe, ambao unaweza kuharibu ubongo wa watoto
Uingereza yaongoza matumizi ya Pombe kwa Watoto. Theluthi moja ya watoto wenye umri wa miaka 11 na zaidi ya nusu…
Read More » -
News
Serikali kuanzisha taasisi upasuaji ubongo
Serikali kuanzisha taasisi upasuaji ubongo Wizara ya Afya imedhamiria kuanzisha taasisi mahususi itakayoshughulikia masuala ya upasuaji wa ubongo na mishipa…
Read More » -
News
Afrika hujumuisha asilimia 95 ya wagonjwa wa malaria duniani;WHO
Nchi zinazokabiliwa Zaidi na Vifo na milipuko ya ugonjwa wa Malaria kama vile Uganda, zimefaulu angalau kwa kiwango fulani. Wakati…
Read More » -
Utafiti
Matumizi makubwa ya dawa za Antibiotics kipindi cha COVID-19,hatari ya kuongeza Usugu
Matumizi makubwa ya dawa za Antibiotics kipindi cha COVID-19,hatari ya kuongeza Usugu. Ushahidi mpya uliotolewa na shirika la afya ulimwenguni,…
Read More » -
Events
Kuongeza Nguvu Katika Mapambano Dhidi ya Malaria
LEO ni Siku ya Malaria Duniani ambayo imekuwa ikiadhimishwa kila mwaka tangu ilipoanzishwa na nchi wanachama wa Shirika la Afya…
Read More » -
Events
Wiki ya Kimataifa ya Chanjo yaanza leo 24 hadi 30 Aprili
Wiki ya Kimataifa ya Chanjo yaanza leo 24 hadi 30 Aprili Wiki ya Kimataifa ya Chanjo ambayo huadhimishwa katika kila…
Read More » -
Events
Watoto wa kike milioni 5 nchini Tanzania kupatiwa chanjo dhidi ya saratani ya shingo ya kizazi- WHO
Watoto wa kike milioni 5 nchini Tanzania kupatiwa chanjo dhidi ya saratani ya shingo ya kizazi- WHO #PICHA: Uzinduzi wa…
Read More » -
Events
WHO yaitangaza Cape Verde kutokomeza Malaria
WHO yaitangaza Cape Verde kutokomeza Malaria Shirika la afya ulimwenguni WHO, limeitangaza Cape Verde kuwa nchi ya tatu barani Afrika…
Read More » -
Utafiti
Maambukizi ya homa ya ini yanasababisha vifo vya watu 3500 kila siku;WHO
Kwa Mujibu wa Takwimu za Shirika la Afya Duniani(WHO; Maambukizi ya homa ya ini yanasababisha vifo vya watu 3500 kila…
Read More » -
Elimu&Ushauri
Kwa Mujibu wa Shirika la Afya Duniani(WHO); Afya yako inategemea Vitu hivi
Kwa Mujibu wa Shirika la Afya Duniani(WHO); Afya yako inategemea Vitu hivi; – Mazingira Mazuri ya kufanya kazi –…
Read More »