Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa

About Us

Blog yetu inajulikana kama @Afyaclass,Tunahusika na kutoa ushauri/ Elimu/ Tiba kwa wanawake,wanaume na watoto pamoja na afyatips mbali mbali muhimu kwa ajili ya afya yako.

USHAURI/ELIMU/TIBA VINAHUSU MAENEO YAFUATAYO;

(1)Afya Ya Uzazi

(2)Magonjwa Ya Wanawake

(3)Afya Ya Mtoto

(4)Magonjwa Ya Wanaume

(5) Magonjwa Sugu Na Magonjwa Mengine

(6) Tips Mbali Mbali Za Afya N.K

MAKALA/MACHAPISHO

Kuna Machapisho/makala(articles) Zaidi ya 10,000+ ambazo zimeandikwa baada ya kufanyiwa Uchunguzi wa kina,

Kisha kuandikwa  kwa Ujuzi mkubwa pamoja na Uzoefu wa wataalam wa afya(experience) na kufanyiwa Reviews na wataalam mbali mbali wa afya ikiwemo;

  • Madaktari(doctors)
  • Manesi(nurses)
  • Wakunga(Midwives)
  • Watu wa dawa(pharmacist)
  • Watu wa tiba za kisaikolojia n.k

Lengo kubwa la kuhakikisha machapisho yanafanyiwa reviews kabla ya kuchapishwa na hata baada ya kuchapishwa, ni ili kuhakikisha unapata taarifa Sahihi kila wakati(accurancy of information).