Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
Magonjwa

IPI NI NJIA SAHIHI NA SALAMA KWA KUJIFUNGUA?(KAWAIDA AU OPERATION)

 ?NJIA SAHIHI NA SALAMA KWA KUJIFUNGUA

• • • • • •

Kuna wengine wanaona Kujifungua Kawaida ni Kama Kuokota mtoto,wengine wanaona Kujifungua kwa Operation na hivi hakuna uchungu,ndo kabisaa hata uchungu na mtoto unakuwa Huna?.


Wengine wanaona kujifungua kwa Kawaida mateso,wengine wanaona kujifungua kwa Operation ni kama kuponea Kifo,wengine wanaona waliojifungua kwa Operation wazembe na wavivu na sio strong women?.


Kila mtu ANA MTAZAMO WAKE kwenye HILI,wewe Ulijifungua kwa njia Ipi? Na unapendelea Ipi zaidi?? Na Je uliteseka??? Mimi Nasema mtazamo wangu Ni HUU???

.

. ?HAKUNA NJIA RAHISI,HAKUNA UZAZI RAHISI,ni Kumshukuru MUNGU unapotoka salama WEWE na MWANAO,njia Itakayo fanya WEWE na MWANAO mtoke Salama,ndio NJIA salama KWENU,inaweza kuwa Rahis kwako Hiyo,ila kwa mwingine Sio Rahisi,wapo wanaPush dakika moja Tu,mtoto kule hachaniki wala hapati Tabu,lakini kuna wanao PUSH,na kuchanika chanika tunaanza kutafuta Shape na Size ya Uke ili maisha yaendelee baada ya pale,ila ni mama  anateseka,sio muda wote ganzi inashika,….na kupasuliwa zile kashkash za Operation,dawa za usingizi na ganzi,Kidonda mara Kimetunga usaa,wengine mshono unafumuka anarudi kufanyiwa upasuaji hata mara Tatu,mara wakati wa upasuaji,Ganzi huisikii unasikia maumivu Tu,Bado Uzazi UNAUA,bado mtu unapitia Yote unakosa mtoto,


NJIA RAHISI na NZURI Kwako Ni ile INAYOFAA kwa Wakati HUO,ili wewe na Mwanao MTOKE SALAMA.

HESHIMA kwa Wamama WOTE.

Via Dr. Latifa



Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass