Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
afyatipsMagonjwamagonjwa ya wanaumemagonjwa ya wanawakemagonjwa ya watoto

MAMBO YA KUFANYA KAMA UMEHISI UNA TATIZO HILI

MAMBO YA KUFANYA KAMA UMEHISI UNA TATIZO HILI

➡️ Post

Sasa ndugu zangu wanaume kama umeona una dalili yeyote kama mojawapo ya nlizotaja hapo na kama unaona inakukera wewe au inamkera mpenzi wako basi yafaa uende hospitali kwa ajili ya uchunguzi wa kina. Unapokua kwa mtaalamu wako atachukua maelezo ya kina kutoka kwako ili kubaini ukubwa na asili ya tatizo lako, kubaini visababishi vya tatizo lako,kisha utafanyiwa vipimo kadhaa ikiwemo vichocheo kama testosterone nk.baada yah apo utapata matibabu kama ni kupewa dawa au upate ushauri kutoka kwa mtaalamu wa mahusiano.


MADHARA YA MATATIZO YA NGUVU ZA KIUME

Kama sote tunavyojua madhara ya matatizo haya ni makubwa sana na ukubwa wa madhara hayo hutegemea na namna mwanaume na mwanamke atakavyolipokea jambo hili suala. Mara zote tatizo linaloweza kumletea shida kubwa mwanaume ni la kushindwa kusimamisha vizuri ukilinganisha lile la kutokua na hamu au matatizo ya kufikia mshindo.


BAADHI YA MATOKEO YA SHIDA HII NI KAMA IFUATAVYO: –

Msongo wa mawazo(mwanaume)

Kuchanganyikiwa(mwanaume)

Kua mgomvi na mbabe bila sababu(mwanaume)

Kuongezeka Kuchepuka (mwanamke)

Kudhoofu afya(mwanaume)

Mahusiano kuvujika(wote)

Kushindwa kupata mtoto

Kudharauliwa bila sababu(mwanamke)

kujiua(mwanaume)

kutokujiamini kwenye tendo 

kujiona mnyonge na mdhaifu

mwanaume kuanza kuvuta bangi, kua mlevi kupindukia na kujiingiza kwenye madawa ya kulevya.

Kuongezeke upigaji wa punyeto(mwanaume)

.

Itaendelea.. Tag Rafiki yako

Na Dr. Mathew

.

.

.


KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.

Karibu Sana..!!!




Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass