Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
afyatipsMagonjwamagonjwa ya wanaumemagonjwa ya wanawakemagonjwa ya watoto

MFAHAMU FARAH KHALEK NA UGONJWA WA SCLERODERMA

?MFAHAMU FARAH KHALEK NA UGONJWA WA SCLERODERMA

• • • • 

Farah Khalek ni mwanamke mwenye miaka 33 kutoka nchini Kenya. 

Khalek ana ugonjwa wa ngozi unaojulikana kama Scleroderma.


Alizaliwa akiwa na sura kama ya mtoto mwenye muonekano wa kawaida.


Lakini alipofika umri wa miaka 17 hali yake ilianza kubadilika ambapo mikono yake ilianza kuwa migumu sana huku kucha zake zikibadilika rangi na kuwa bluu.


Mwili wa Farah umezidi kubadilika na kuchukua muonekano usiokuwa wa kawaida na binadamu wengine, ngozi nayo imeendelea kuwa ngumu na viungo vya mwili vimekuwa vigumu mno.


Baada ya uchunguzi ndipo alipogundua kuwa ana ugonjwa ambao hauna kinga unaojulikana kama ‘scleroderma’ .


Mwanamke huyu hawezi kufanya shuguli zake za kawaida kama kusimama , kuinama , kuandika kwa kalamu na kila mara anahitaji usaidizi wa mamake.


(Via bbcswahili)




Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass