Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
magonjwa ya wanaumemagonjwa ya wanawakemagonjwa ya watoto

MADHARA YA KUZIDI KWA SUKARI MWILINI

SUKARI

• • • • • •

MADHARA YA KUZIDI KWA SUKARI MWILINI


Uwepo wa sukari iliyozidi kiasi cha kawaida mwilini kwa muda mrefu huharibu mshipa wa fahamu wa vagus (vagus nerve) ambao huongoza utendaji kazi wa viungo vya ndani ya mwili hasa upumuaji,mmeng’enyo wa chakula pamoja na mapigo ya moyo. Huongoza pia matendo yasiyo ya hiari ya mwili kama vile kutapika,kukohoa pia kupiga chafya

Kwa watu walio na sukari nyingi mwilini,uwezo wa neva ya vagus katika kuratibu miondoko ya chakula kutoka kwenye tumbo kwenda kwenye utumbo hupungua. Unaweza usiwe na hisia za njaa kabisa,unaweza kuanza kusumbuliwa na kiungulia cha mara kwa mara,maumivu ya tumbo,kutapika pamoja na kusumbuliwa sana na tatizo la choo kigumu. Fika hospitalini upime sukari yako! Cr: @afyainfo 



Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass