Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
Magonjwa

MAJI NI MUHIMU SANA KWA MAMA MJAMZITO

 MJAMZITO

• • • • • •

MAJI NI MUHIMU SANA KWA MAMA MJAMZITO


Maji ni muhimu kwa mjamzito , na mahitaji ya maji huongezeka pia unapokua mjamzito . Kwahiyo kunywa maji ya kutosha kadiri unavyojisikia kiu au uhitaji

.

.

Pia vinywaji vingine salama na vizuri kwa mjamzito ni kama vile juice ya limao , maziwa, juice ya matunda , juice ya mbogamboga (mfano juice ya karoti ?)

.

Juice ya limao itakusaidia kupunguza pia hali ya kujisikia kichefuchefu na kutapika,  ijaribu uone ?

.

.

 Epuka kunywa pombe , energy drinks , juice mimea tiba asili ( Labda kama upo katika uangalizi au daktari wako anafahamu – Ni rahisi sana ujauzito wako kupata madhara , endapo hamna uthibitisho wowote wa viwango unavyotumia )


#afyasolution



Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass