Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
Magonjwa

DALILI ZA UGONJWA WA BRUCELLA

UGONJWA WA BRUCELLA,CHANZO,DALILI NA TIBA YAKE

1. Je Brucella ni Ugonjwa gani?

2. Chanzo chake ni nini?

3. Dalili za Brucella ni Zipi?

4. Matibabu ya brucella

MAANA NA CHANZO CHA UGONJWA WA BRUCELLA

• Ugonjwa wa Brucella ni ugonjwa ambao kwa kitaalam hujulikana kama Brucellosis na chanzo chake kikubwa ni maambukizi ya Bacteria wanaojulikana kama BRUCELLA,

BACTERIA HAWA UNAWAPATA WAPI?

Bacteria hawa hutoka kwa wanyama mbali mbali kama vile; Ng’ombe, mbuzi,kondoo,Nguruwe,Mbwa n.k,

na kwa hivi sasa watu wengi hupatwa na ugonjwa wa Brucella ambao hupimwa kupitia kipimo cha damu,

Unaweza kupata bacteria hawa wa Brucella kwa kula nyama ambazo hazijapikwa vizuri au Maziwa

Soma zaidi hapa kuhusu ugonjwa wa Brucella.

DALILI ZA UGONJWA WA BRUCELLA

fahamu kuhusu dalili mbali mbali za ugonjwa wa Brucella, kwa kusoma baadhi ya dalili hizo hapa chini;

1. Mgonjwa kupatwa na homa ambazo hujirudia mara kwa mara

2. Mgonjwa kuhisi kama vile kuna vitu vinatembea mwilini mwake, na wakati mwingine huhisi kama minyoo wakati wa kujisaidia haja kubwa

3. Mgonjwa kuanza kutetemeka mwili baada ya kuhisi baridi kali

4. Mgonjwa kupoteza kabsa hamu ya kula chakula au kitu chochote

5. Mgonjwa kutoa jasho kupita kiasi

6. Mwili kuchoka sana pamoja na kuwa dhaifu

7. Mgonjwa Kupata maumivu ya joints,misuli pamoja na maumivu ya mgongo

8. Mgonjwa Kupata maumivu ya kichwa mara kwa mara

9. Pia mgonjwa huweza kupatwa na tatizo la kuvimba kwa kuta za ndani ya chemba za moyo yaani endocarditis

10. Mgonjwa kupatwa na tatizo la kuvimba kwa joints pamoja na mifupa ya uti wa mgongo yaani spinal bones, tatizo ambalo hujulikana kwa kitaalam kama Spondylitis.

KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.

Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass