Saratani ya shingo ya kizazi dalili zake,Sababu na Matibabu yake Tanzania
Saratani ya shingo ya kizazi dalili zake,Sababu na Matibabu yake Tanzania
Chanzo cha Saratani ya Shingo ya Kizazi
Saratani ya shingo ya kizazi dalili zake
Fahamu hapa kuhusu Saratani ya Shingo ya Kizazi dalili zake,Saratani ya Shingo ya Kizazi ikiwa kwenye hatua za mwanzoni kabsa inaweza isionyeshe dalili zozote, ila ikionyesha dalili Hizi hapa ni baadhi ya Dalili hizo;
- Mwanamke kuvuja damu Ukeni wakati wa tendo la ndoa au baada ya tendo la ndoa
- Mwanamke kuvuja damu ukeni katikati ya mzunguko wa hedhi(between periods)
- Mwanamke kuvuja damu ukeni hata baada ya kufikia ukomo wa hedhi(menopause)
- Kua maji Ukeni,wakati mwingine kama damu,ambapo huweza kuwa mengi na yenye harufu mbaya
- Kupata maumivu ya kiuno au nyonga,maumivu wakati wa tendo la ndoa n.k
- Mwanamke kuvuja damu nyingi sana ya hedhi kuliko kawaida
- Wakati mwingine Kupat maumivu makali chini ya Mgongo n.k, Saratani ya Shingo ya Kizazi dalili zake huweza kuanza wakati wowote,ni muhimu sana kwenda hospital kufanya vipimo mapema ukiona dalili kama hizi.
KUNDI LILILOPO KATIKA HATARI YA KUPATA SARATANI YA SHINGO YA KIZAZI
MADHARA YA SARATANI YA SHINGO YA KIZAZI
MATIBABU YA SARATANI YA SHINGO YA KIZAZI
- Huduma ya mionzi(radiotherapy)
- Matumizi ya dawa za Saratani(chemotherapy)
- Huduma ya Upasuaji n.k
FAQs
Je Saratani ya Shingo ya Kizazi ni nini?
Saratani ya shingo ya kizazi ni ukuaji usio wa kawaida wa seli hai zilizopo au zinazounda eneo la shingo ya kizazi.
Je Saratani ya Shingo ya Kizazi inasababishwa na nini?
Saratani ya shingo ya kizazi husababishwa na Kirusi aitwaye HUMAN PAPILLOMA VIRUS (HPV).
Je Kundi Lipi lipo kwenye hatari Zaidi ya Kupata Saratani ya Shingo ya kizazi?
Kundi hili Lipo kwenye hatari Zaidi ya Kupata Saratani ya Shingo ya Kizazi;
➖ Watu wanaoanza kushiri tendo la Ndoa au mapenzi wakiwa na umri mdogo mfano kabla ya miaka 18 au 20.
➖ Watu wenye wapenzi wengi yaani Multiple parteners
➖ Wanawake wenye Umri mkubwa mfano miaka 50 na kwenda mbele
➖ Kuzaa katika umri mkubwa mfano miaka 48.
➖ wanaotumia dawa zozote zinazohusu kuongeza uzalishaji wa seli hai za Mwili.
– Pia wanaotumia Vidonge vya Uzazi wa mpango(Contraceptives pills) kwa muda mrefu zaidi,mfano zaidi ya miaka 3, miaka 5 n.k
Hitimisho
Saratani ya Shingo ya Kizazi ni hatari na inasababisha vifo Vingi kwa Wanawake Duniani kote,
Ni muhimu Kujenga Tabia ya kufanya checkup au Screening ya Saratani ya Shingo ya Kizazi mara kwa mara ili kuigundua mapema, Kwani ukiigundua mapema unaweza kupoba kabsa,
Pia ni muhimu zaidi kufahamu dalili za Saratani hii ya Shingo ya Kizazi, na hizi hapa ni baadhi ya dalili zake;
- Mwanamke kuvuja damu Ukeni wakati wa tendo la ndoa au baada ya tendo la ndoa
- Mwanamke kuvuja damu ukeni katikati ya mzunguko wa hedhi(between periods)
- Mwanamke kuvuja damu ukeni hata baada ya kufikia ukomo wa hedhi(menopause)
- Kua maji Ukeni,wakati mwingine kama damu,ambapo huweza kuwa mengi na yenye harufu mbaya
- Kupata maumivu ya kiuno au nyonga,maumivu wakati wa tendo la ndoa n.k
- Mwanamke kuvuja damu nyingi sana ya hedhi kuliko kawaida
- Wakati mwingine Kupat maumivu makali chini ya Mgongo n.k, Saratani ya Shingo ya Kizazi dalili zake huweza kuanza wakati wowote,
KUMBUKA: Ni muhimu sana kwenda hospital kufanya vipimo mapema ukiona dalili kama hizi.