Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
Magonjwa

UGONJWA WA DENGUE(chanzo,dalili na tiba yake)

  DENGUE

• • • • •

UGONJWA WA DENGUE(chanzo,dalili na tiba yake)


Ugonjwa wa Dengue ni ugonjwa ambao chanzo chake ni virusi ,ugonjwa huu huweza kusambazwa na mbu ambao wamebeba vimelea  hivi.


CHANZO CHA UGONJWA WA DENGUE


Hivo basi kama nilivyokwisha kusema hapo juu ugonjwa wa dengue chanzo chake ni virusi lakini msambazaji mkuu ni mbu jamii ya Aedes aegypti na wakati mwingine hata jamii ya Aedes albopictus huhusika pia.


 DALILI ZA UGONJWA WA DENGUE NI PAMOJA NA;


– Joto la mwili la mgonjwa kupanda au mgonjwa kuwa na homa


– Kupata uchovu wa mwili kupita kiasi


– Kupata maumivu makali ya kichwa


– Mgonjwa kukosa kabsa hamu ya chakula


– Maumivu ya viungo,misuli pamoja na joint kwenye mwili


– Maumivu ya tumbo,kiuno na mgongo


 Maeneo ya joto sana, pamoja na hali ya unyevu unyevu huweza kuwa mazingira mazuri sana ya ugonjwa huu


MATIBABU YA UGONJWA WA DENGUE


Homa ya dengue huweza kutibika kwa njia mbali mbali ikiwa ni pamoja na matumizi ya dawa aina mbali mbali, 


Ushauri wangu kwako ni bora kwenda hospital kufanya vipimo kwanza, kabla ya kuanza matibabu 


@Kwa Ushauri zaidi,Elimu, Au Tiba tuwasiliane kwa Namba +255758286584


Karibu Sana..!!



Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.