Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
News

Upinzani wa vimelea vya Magonjwa,Antimicrobial Resistance (AMR) ni nini?

Upinzani wa vimelea vya Magonjwa,Antimicrobial Resistance (AMR) ni nini?

Hali hii hutokea wakati bakteria, virusi, fangasi na vimelea wengine wa magonjwa kubadilika kadiri muda unavyopita na kutojibu tena dawa,

Hali hii hufanya maambukizi kuwa magumu kutibu na kuongeza hatari ya kuenea kwa magonjwa, magonjwa kuwa makali zaidi na hata kusababisha vifo.

Upinzani huu wa Vimelea vya Magonjwa,Antimicrobial Resistance (AMR) hutokana na vimelea hawa kuweza kujibadilisha kadri muda unavyokwenda ili waweze kuishi,

Na hapa ndipo hata ukitumia dawa ambazo umewahi kutumia hapo awali ukapona, hazikusaidii tena,

Tayari vimelea hivi vimeshatengeneza Self defence dhidi ya Dawa husika.

Tunashauriwa Sana na Wataalam wa afya kumaliza doses za Dawa tunazotumia hata kama tumepona,

ili kuepuka vimelea hawa kutengeneza Usugu wa Dawa.

 

Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.