Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
Magonjwa

FAIDA ZA TANGO KATIKA AFYA YA MACHO

FAIDA ZA TANGO

• • • • • •

TANGO……..Hili ni moja ya tunda muhimu sana Mbali kusaidia kisafisha figo na magonjwa ya ngozi Tango linamchango mkubwa katika tiba ya MACHO. Tango linamaji mengi, vitamin B Zote ( Vit B complex), vitamin c pamoja na madini..


Tango huondoa allergy na kusafisha macho mekundu na kuyafanya kuwa meupe Kwasababu Tango lina antiinflammatory effects.


Tango huondoa uvimbe kwenye ngozi ya macho


Tango huondoa makunyanzi kwenye ngozi ya macho.


Jinsi ya kutumia.


Kata slice mbili za Tango na weka kwenye kila jicho acha hapo kwa Dakika 10.


Fanya hivi kila siku.


Share!

Dr. Noel 



Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.