Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
Magonjwa

YAFAHAMU MADHARA AMBAYO ANAWEZA KUPATA MTU KWA KUTOA MIMBA AU UJAUZITO?

MIMBA

• • • • • •

YAFAHAMU MADHARA AMBAYO  ANAWEZA KUPATA  MTU KWA KUTOA MIMBA AU UJAUZITO?

Kitendo hiki ni hatari sana kwa afya yako.Madhara yatokanayo na utoaji mimba yapo mengi ila mimi ntataja baadhi tu kwa kukufungua macho ili ujue hatari ya kitendo hiki;

• Mji wa uzazi kushindwa kukakamaa mara baada ya kutoa mimba hivyo kusababisha damu nyingi kutoka na kupelekea kupoteza MAISHA kwa mhusika.

• Maambukizi yanayotokana na vijidudu mbalimbali vinavyoingia katika mji wa uzazi wakati wa kutoa mimba ambavyo huweza kusambaa mwili mzima kuleta maambukizi ya vijidudu hivyo kwenye damu

• Kuumia au kutoboka kwa viungo vya mwili Kama vile mji wa mimba, kibofu cha mkojo,utumbo,na hata figo kunakosababishwa na matumizi ya vitu venye ncha kali katika kutoa mimba Kama vile vijiti

• Kubaki kwa masalia ya mimba ndani ya mji wa uzazi

.Kupoteza kabisa uwezo wa kuzaa au kushika mimba hivo kuwa kilio cha Maisha…

Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.