Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
Magonjwa

WANANDOA WANAPOKOSA MTOTO WAFANYAJE?

MTOTO/MIMBA

• • • • • •

Wanandoa,wenzi WANAPOKOSA MIMBA/MTOTO,wanatakiwa kwa pamoja kwenda hospitalini.


Na wanatakiwa kusikilizwa maelezo yao kwa pamoja,kuchunguzwa kwa PAMOJA.


Baadhi ya dalili za mwanaume MWENYE UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME(ishara ya kushindwa KUTUNGISHA MIMBA)

-kukosa Hamu ya sex

-kushindwa kusimamisha uume

-kushindwa kukojoa

-kushindwa kabisa kurudia round baada ya round moja

-kukojoa manii mepesi sanaa au kidogo sana kuliko kawaida.


Vipimo vya mwanaume  mara NYINGI


●KIPIMO CHA MBEGU,SPERM ANALYSIS.

Hiki ni namba MOJA.

na hapa tunaangalia


1.Ujazo,Volume atakiwa mwanamke akojoe Mili 1.5 mpaka 5


 2.WINGI WA MBEGU(zinatakiwa ziwe Million 15 au Zaid kwenye Ml Moja)


3.uwezo wa mbegu kutembea(motility) inatakiwa mbegu zaid ya 40% ziwe ma uwezo wa kutembea ndipo mwanaume ampe mwanamke Mimba


4.chembe chembe nyeupe  yaan White blood cells zikiwepo inaweza kuwa ishara ya Infection kwenye mfumo wa uzazi wa mwanaume


5.UBORA wa mbegu,Morphology ya mbegu,Ili mwanaume ampe mwanamke mimba LAAZMA mbegu ziwe zimetengeneza vizud,yaan KICHWA,MKIA visiwe na kasoro,mfano mbegi ikiwa na kichwa kidogo sana,au unakuta mbegu haina MKIA,au vikia vifupi ni changamoto.


●WANAUME PIA WATAPIMWA HORMONES KAMA FSH,TESTESTERONES


●ANTSPERM ANTIBODY

mwanaume anazalisha kemikali zinashambulia mbegu zake.


●SCROTAL ULTASONOGRAPH 

kipimo cha picha cha kwenye korodani kuchunguza kama mwanaume  anashida yeyote.


Kama mwanaume anashida ya uzalishaji wa mbegu chache yaan OLIGOSPERMIA huwa tunawapa DAWA kuongeza uzalishaji wa MBEGU na wengi hu respond vizur na kuweza kuwapa wanawake zao MIMBA.



Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.