Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
Magonjwa

DALILI ZA KUVIMBA KWA TEZI DUME PAMOJA ATHARI ZAKE KIAFYA

TEZI DUME

• • • • • •

Watu wengi wenye tatizo hili la tezi dume wamekua wakihangaika kufanya operation lakini tatizo hujirudia 

Bahati mbaya tatizo likiwa kwa muda mrefu hugeuka kuwa cancer 

Suluhisho la tezi dume bila upasuaji ni uhakika kwasababu tatizo halijirudii tena


Lakini pia kila mwanaume ni muhimu atumie virutubisho hivi kwasababu husaidia kuzuia usipate tezi dume kwa kuzuia uzalishwaji wa DHT hormone ambayo ndio sababu kuu ya kuikuza tezi dume


Tujifunze kidogo ,TEZI DUME NI NINI?

Tezi dume hii kitaalamu hufahamika kama (PROSTATE GLAND) ,Hii Ni tezi inayopatikana katika mfumo wa uzazi wa kiume.Tezi hii inapatikana jirani na kibofu Cha mkojo na mirija ya mkojo.Tezi hii Ina kazi ya kuzalisha majimaji ambayo hubeba mbegu za kiume.


Majimaji hayo ndio Yale anayotoa mwanaume anapofikia kilele.Hivyo tezi hii Ni muhimu sana katika mfumo wa kizazi wa mwanaume.Tezi hii si kubwa saana inapata sentimita zisizozidi 4,lakini tezi hii hukuwa kadiri umri unavyoenda.


DALILI ZA KUVIMBA KWA TEZI DUME:-


✓Kukojoa Mara kwa mara.

✓kubakiza mkojo kwenye kibofu.

✓kukojoa saana usiku.

✓Maumivu wakati wa kukojoa na mkojo usioenda mbali.

✓Kupungukiwa nguvu za kiume

✓UTI ya Mara kwa mara.

✓Mawe kwenye kibofu kutokana na mrundikaniko wa mkojo.

✓Figo kujaa maji,hii Ni kwasabab mkojo huo unarudi nyuma kuelekea kwenye figo.

✓Kupoteza fahamu.

✓Maumivu ya Mara kwa mara ya kiuno kwa nyuma ya mgongo na mapaja.

✓Uume kushindwa kusimama vizur.

✓Kuwa na wakati mgumu wakati wa kukojoa na kuzuia mkojo.


ATHARI ZA TEZI DUME KAMA HAITAWAHI KUTIBIWA:-

1)Kushindwa kabisa kukojoa.

2)Kupatwa na maambukizi ya UTI

3)Kupatwa na vijiwe kwenye kibofu.

4)Uharibifu wa kibofu unaweza kutokea.

5)Figo inaweza kuharibika.


Suluhisho la kumaliza hili tatizo lipo bila upasuaji 

Kwa maelezo zaidi tuwasiliane piga/ whatsap 0758286584



Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.