Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
Magonjwa

MAUMIVU YA NYONGA

MAUMIVU

• • • • • •

Maumivu ya nyonga huwa ni maumivu sehemu ya tumbo la chini pamoja na nyonga zenyewe. Kwa wanawake, maumivu ya nyonga yaweza kuwa viashiria au dalili za matatizo yaliyoko kwenye mfumo wa uzazi, mfumo wa mkojo au mfumo wa usagaji chakula au mifupa pia.


NUKUU: Kulingana na chanzo chake, maumivu ya nyonga yanaweza kuwa ya kawaida tu au yakawa makali kabisa  yanaweza kuwa ya mfululizo au muda mrefu hivyo Uonapo dalili usizozielewa wahi kituo cha afya kwa vipimo na matibabu zaidi



Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.