Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
Magonjwa

FAIDA ZA UYOGA WA “Turkey tail” KWENYE MWILI WA BINADAMU

UYOGA

• • • • • •

FAIDA ZA UYOGA WA “Turkey tail” KWENYE MWILI WA BINADAMU .


.

1️. Hurekebisha hormone kwa mwanamke na huondoa hali ya kuchoka na madhara yote yaletwayo na kutokukaa sawa hormone za mwanamke hufaa sana kwa uzazi hususani kwa mwanamke anaetafuta mtoto au alietumia njia za kukinga mimba hapo awali 


2. Ina POLYSACHARIDE K NA POLYSACHARDE PEPTIDE ambazo huzuia ukuaji wa seli za kansa


3️. Hurekebisha mzunguko wa hedhi na kukufanya upate hedhi wakati sahihi na bila maumivu na hurudisha kila kitu kuwa sawa


4️. huondoa maumivu na uvimbe aina yoyote ikiwa ni pamoja na uvimbe kwenye kizazi (fibroids)


5️. Inaongeza kinga ya mwili 


6️. Inaondoa madhara na athari zipatikanazo baada ya matibabu ya chemotherapeutic 


7️. Nzuri Kwa watu wenye matatizo katika via vya uzazi (PID)


8️. Inaongeza hamu ya kula


Kwa kawaida ni vigumu sana kuupata uyoga huu, lakina ipo namna ambayo imerahisishwa upatikanaji wake.



Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.