Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
Magonjwa

FAIDA ZA KUTUMIA ZABIBU KILA WAKATI

Zabibu ni chanzo kizuri cha potasiamu. Madini haya yanaweza kusaidia kupunguza shinikizo la damu na kupunguza hatari ya ugonjwa wa moyo na kiharusi!

Faida za kutumia zabibu kila wakati…. Kwa mujibu wa tafiti za kiafya zinaonyesha, ipo faida kubwa sana kwa mtu yeyote anayetumia zabibu katika upande wa afya yake.

Inaonyesha moja kwa moja, zabibu kutokana na wingi wa madini zilizonayo ndani yake, zina uwezo wa kusaidia kwa watu wenye magonjwa mbalimbali kama zikitumiwa kwa uhakika.

katika makala haya tumekuwekea dondoo za kukusaidia kukuonyesha baadhi ya magonjwa yanaweza kudhibitiwa au kuepukwa hasa kutokana na matumizi ya zabibu.

1. Zabibu husaidia kwa watu wenye pumu (Asthma)

2. Zabibu inaimarisha mifupa.

3. Zabibu inazuia magonjwa mengi ya moyo.

4. Zabibu inapunguza unene kwa sehemu.

5. Zabibu inapunguza kisukari.

6. Zabibu ni kinga ya magonjwa ya meno.

7. Zabibu ni kinga kwa kansa ya matiti.

8. Zabibu inapunguza ugonjwa wa mapafu.

9. Zabibu inapunguza tatizo la kushindwa kuona mbali.

Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.