SAMAKI NI MOJA YA VYAKULA BORA KABSA
SAMAKI
• • • • • •
Samaki ? ni moja ya vyakula bora kabisa kiafya
.
◾Samaki kama sato wana Omega3 nyingi ambayo hulinda moyo na kurutubisha ubongo na akili
.
◾Protini Bora isiyo na mafuta
.
◾Kujenga mifupa imara ?Tunashauriwa kutumia samaki walau mara 2 kwa wiki
.
.
◾Samaki ni muhimu sana kwa mama mjamzito, Virutubisho vya samaki husaidia sana katika utengenezaji wa ubongo na mfumo wa fahamu wa mtoto tumboni. ? Mjamzito atumie samaki walau mara 2 kwa wiki.
.
.
◾Samaki wa baharini kama Pweza huwa na kiwango cha kutosha cha madini aina ya zinc ambayo husaidia sana utendaji kazi wa mfumo wa uzazi. ?Huboresha ubora wa mbegu za kiume na kusaidia nitric oxide kutanua mishipa ya damu kwenye uume.