Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
News

Jinsi ya kudhibiti na kupunguza athari za mabadiliko ya hali ya hewa kwa afya

Jinsi ya kudhibiti na kupunguza athari za mabadiliko ya hali ya hewa kwa afya

athari za mabadiliko ya hali ya hewa

athari za mabadiliko ya hali ya hewa ni pamoja na kusababisha madhara makubwa ikiwemo;

  • Ukosefu wa Maji Safi na Salama ya kunywa
  • Ukosefu wa hewa safi
  • Ukosefu wa chakula cha kutosha,Malazi n.k

Katika makala hii tumechambua Jinsi ya kudhibiti na kupunguza athari za mabadiliko ya hali ya hewa kwa afya

Kwa Mujibu wa Takwimu za Shirika la afya Duniani(WHO);

Kati ya Mwaka 2030 na 2050, mabadiliko ya hali ya hewa huweza kupelekea Vifo zaidi takribani 250 000 kwa mwaka,

Hii ni kutokana na uwepo wa Matatizo kama vile;

  • Tatizo la Utapiamlo(malnutrition),
  • Ugonjwa wa malaria,
  • Magonjwa yote ya kuharisha(diarrhoea)
  • Pamoja na madhara ya  joto-heat stress.

Ingawa kupunguza gesi ambazo ni greenhouse gases kwa njia kama vile kuboresha nyanja za usafiri,chakula,pamoja na kutumia nishati bora za kupikia ambazo ni rafiki kwa mazingira, hii inaweza kusaidia sana kuboredha afya na kupunguza athari za mabadiliko ya hali ya hewa,

Pia kudhibiti vyanzo mbali mbali vya Joto ni njia bora ya Jinsi ya kudhibiti na kupunguza athari za mabadiliko ya hali ya hewa kwa afya.

athari za mabadiliko ya hali ya hewa huathiri mpaka uchumi wa mtu au taifa kwa ujumla,kisha kuongeza kiwango cha Umasikini kwa Watu,

Hali ambayo huongeza hatari ya kupata magonjwa mbali mbali na kushindwa kupata matibabu stahiki.

athari za mabadiliko ya hali ya hewa

Hivo kwa Ujumla hizi ni baadhi ya athari za mabadiliko ya hali ya hewa;

– Kusababisha Vifo

– Kusababisha magonjwa mbali mbali

– Kuongeza kiwango cha umasikini

– Kuleta njaa

– Tatizo la utapiamlo n.k

– Athari kama vile

  • Ukosefu wa Maji Safi na Salama ya kunywa
  • Ukosefu wa hewa safi
  • Ukosefu wa chakula cha kutosha,Malazi n.k

Jinsi ya kudhibiti na kupunguza athari za mabadiliko ya hali ya hewa kwa afya

Njia za kudhibiti na Kupunguza athari za mabadiliko ya hali ya hewa ni pamoja na;

– Kuboresha nyanja za Usafiri na Usafirishaji, ikiwemo kudhibiti magari yanayotoa moshi sana n.k

– Kudhibiti viwanda vinavyochafua zaidi mazingira,ikiwemo;

  • maji,
  • hewa
  • Pamoja na ardhi

– kudhibiti uchafuzi wa vyanzo mbali mbali vya maji na kuvilinda pia

– Kupanda Miti na kutunza mistu

– Kudhibiti uchafuzi wowote wa hewa,maji pamoja na ardhi

– kuboresha nyanja za usafiri,chakula,

– pamoja na kutumia nishati bora za kupikia ambazo ni rafiki kwa mazingira, hii inaweza kusaidia sana kuboredha afya pamoja na kupunguza athari za mabadiliko ya hali ya hewa.

Hitimisho

athari za mabadiliko ya hali ya hewa ni nyingi,ila baadhi yake ni kama vile;

– Kusababisha Vifo

– Kusababisha magonjwa mbali mbali

– Kuongeza kiwango cha umasikini

– Kuleta njaa

– Tatizo la utapiamlo n.k

Ila Zipo njia mbali mbali za kudhibiti na Kupunguza athari za mabadiliko ya hali ya hewa ikiwa ni pamoja na;

Kuboresha nyanja za Usafiri na Usafirishaji, ikiwemo kudhibiti magari yanatoa moshi sana n.k

– Kudhibiti viwanda vinavyochafua zaidi mazingira,ikiwemo uchafuzi wa maji,hewa pamoja na ardhi

– kudhibiti uchafuzi wa vyanzo mbali mbali vya maji na kuvilinda pia

– Kupanda Miti na kutunza mistu

– Kudhibiti uchafuzi wowote wa hewa,maji pamoja na ardhi n.k

Kwa kutumia njia Hizi tunaweza kudhibiti na Kupunguza athari za mabadiliko ya hali ya hewa.

Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.