Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
Magonjwa

ZIJUE SIZE ZA UUME

SIZE ZA UUME

Wanaume wengi wanaamini kwamba urefu wa wastani wa uume uliosimama ni zaidi ya inchi 6 (cm 15.24).

Kwa kiasi flani Imani hii inatokana na tafiti kadhaa zilizotajwa mara nyingi ambazo zilitegemea vipimo vilivyoripotiwa kibinafsi,

Kwa tafiti zingine 21 zilizofanywa ambapo watafiti walipima uume ulionyoshwa, wastani ulikuwa takriban inchi 5.11 (cm 12.98).

Kulingana na tafiti hizi, urefu wa wastani wa uume uliosimama ni kati ya inchi 5.1 na 5.5 (sentimita 12.95-13.97),

Uchunguzi unaonyesha kuwa wanaume wengi wanatamani wangekuwa na UUME Mkubwa zaidi, huku wengine wakichagua upasuaji wa kuongeza uume.

Je kuwa na UUME MKUBWA ndyo Suluhisho kwenye Tendo la Ndoa na Kumridhisha Mwenza wako?

Mwanaume Ukiwa unafahamu Vizuri Maumbile ya mwanamke yalivyo na Sehemu Muhimu wakati wa TENDO, basi utaelewa ni nini kinahitajika zaidi kwenye kumridhisha Mwenza wako.

UUME MDOGO (MICROPENIS)

Hii ni ile hali ya mwanaume anakua na uume ambao ni mdogo kimuonekano,mfupi na mwembamba kimaumbile.

Ikumbukwe kwamba saizi ya uume inakua inatofautiana kulingana na umri wa mtu ,

mfano urefu na unene wa mtu wa miaka 5 sio sawa na wa mtu mwenye miaka 20.,

Vile vile ikumbukwe pia size na urefu wa uume hupimwa tu pale uume ukiwa umesimama au umenyoonyshwa vizuri,

na kama mwanaume hajatahiriwa basi Govi linatakiwa livutwe kwa nyuma na kuacha kichwa cha uume(glans penis) kionekane.

Kua na maumbile madogo kwa wanaume kunawafanya wajione hawajakamilika na hivo kupoteza kujiamini katika jamii na hasa katika masuala ya mahusiano..

kutokana na matokeo ya mdororo wa kisaikolojia wapatao baadhi ya wanaume wenye maumbile madogo basi wengine huamua kujiingiza katika matendo mabaya kama ulevi,uvutaji bangi,ushoga nk

BAADHI YA SIZE ZA UUME

Kwa kawaida maumbile ya Uume huendana na umri wa mtu kama ifuatavyo:

  1.  Watoto wenye umri wa miezi 0-5;uume unakua kati ya sentimita 2.5 hadi 4
  2.  Watoto wenye umri wa miezi 6-12;uume unakua kati ya sentimita 3.1 hadi 4.3
  3. Watoto wenye umri wa mwaka 1-2;uume unakua kati ya sentimita 3.7 hadi 4.8
  4. Watoto wenye umri wa mwaka 2-3;uume unakua kati ya sentimita 4.5 hadi 5
  5. Watoto wenye umri wa mwaka 3-4;uume unakua kati ya sentimita 4.8 hadi 6
  6.  Watoto wenye umri wa mwaka 4-5;uume unakua kati ya sentimita 5 hadi 6.4
  7.  Watoto wenye umri wa mwaka 5-6;uume unakua kati ya sentimita 5.5 hadi 6.5
  8. Watoto wenye umri wa mwaka 6-7; uume unakua kati ya sentimita 5.7 hadi 6. 5
  9. Watoto wenye umri wa mwaka 7-8;uume unakua kati ya sentimita 5.9 hadi 6.8
  10. Watoto wenye umri wa mwaka 8-9;uume unakua kati ya sentimita 6 hadi 7
  11.  Watoto wenye umri wa mwaka 9-10;uume unakua kati ya sentimita 6 hadi 7
  12. Watoto wenye umri wa mwaka 10-11;uume unakua kati ya sentimita 6.2  hadi 7.3
  13. WATU WAZIMA WANAKUA NA UUME WENYE UREFU KATI YA SENTIMITA 13 HADI 19

KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584

Karibu Sana..!!!

Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.