Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
Magonjwa

Hii ni sababu ya kushangaza itakayokufanya uipende juisi ya machungwa-faida za Juice ya Machungwa

Hii ni sababu ya kushangaza itakayokufanya uipende juisi ya machungwa-faida za Juice ya Machungwa

“Je, umeshawahi kufahamu faida za juisi ya machungwa kwa afya yako?

Je, unajua juisi ya machungwa hutoa karibu miligramu 500 za potasiamu kwa kila kikombe Unachotumia?

Inasemekana kwamba juisi hii inaweza kutoa karibu miligramu 500 za potasiamu!

FAHAMU: juisi ya machungwa hutoa karibu miligramu 500 za potasiamu kwa kila kikombe unachokunywa

Unaweza kutengeneza mwenyewe juice ya machungwa, Ingawa pia bidhaa za dukani huongeza kalsiamu na vitamini D ili kuimarisha mifupa na meno.

faida za juisi ya machungwa

Soma hapa zaidi kuhusu faida za juisi ya machungwa

1. Juice ya machungwa ina virutubisho muhimu vya kutosha(Nutrients)

Juice ya machungwa inaweza kutoa kiwango kikubwa cha virutubisho ikiwemo;

  • vitamin C,
  • folate,
  • potassium.
  • Calories
  • Protein:
  • Carbs:
  • Magnesium:

Hii ni miongoni mwa Faida kubwa za juice ya machungwa

2. Juice ya machungwa ina kiwango kikubwa cha Antioxidants

Antioxidants ndani ya juice ya machungwa huweza kupunguza hatari ya kupata saratani mbali mbali kwa kuzuia oxidative damage kisha kuimarisha afya yako.

3. Juice ya machungwa huweza kuzuia tatizo la mawe kwenye figo- Kidney Stones

Tatizo la mawe kwenye figo(Kidney stones) huweza kujumuisha mkusanyiko wa madini(small mineral deposits) ndani ya figo, hali ambayo huweza kusababisha dalili mbali mbali ikiwemo;

  • maumivu makali,
  • kichefuchefu,
  • au kutoa mkojo wenye damu n.k

Juice ya machungwa huweza kupandisha kiwango cha pH kwenye mkojo na kuufanya kuwa na alkaline zaidi,

Na tafiti zinaonyesha kiwango kikubwa cha alkaline kwenye mkojo(urinary pH) husaidia kuzuia tatizo la mawe kwenye figo.

Hivo hii ni mojawapo ya faida kubwa za juice ya machungwa.

4. Juice ya machungwa huweza kuboresha afya ya moyo,

Hii pia ni mojawapo ya faida za juisi ya machungwa,

Hii hutokea kwani,baadhi ya tafiti znaonyesha unywaji wa juice ya machungwa huweza kupunguza vihatarishi mbali mbali vya magonjwa ya moyo kama vile;..

  • presha
  • cholesterol  n.k

Hali ambayo husababisha moyo kuwa na afya zaidi.

5. Juice ya machungwa huweza kupunguza tatizo la Inflammation

Acute inflammation ni matokeo ambayo hutokana na kinga ya mwili kupambana na vimelea mbali mbali vya magonjwa n.k

Hizo ndyo baadhi ya faida za juisi ya machungwa.

Tumia Juice ya machungwa boresha afya yako.

Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.