Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
Magonjwa

CHANGAMOTO WANAZOPITIA WANAWAKE

 Impower the women,Wanawake wanapitia changamoto nyingi sana katika safar ya maisha,Lakini pia mwanamke ni kiwanda cha kufwatua matofali”watu”.

.

Mwanamke anapojifungua anahitaji faraja sana kutokana na safar ndefu aliyoipitia katika kipind chake cha ujauzito

.

Mwingine kabeba ujauzito wiki 37,mwingine 38,mwingine 42, na hata mwingine huambiwa kabeba ujauzito mpaka mda wa kujifungua umepita bado yupo na kiumbe tumboni

.

Hongera kwa ujasiri huu mwanamke

#mwanamke 

#ushindi

#ombenimkumbwa

KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.

Karibu Sana..!!!




Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.