Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
News

TATIZO LA MIMBA ZA UTOTONI

 Mimba za Utotoni(Teenage Pregnancy). Kwa Tanzania tunaweza tukasema ukipata mimba chini ya Miaka 18 upo kwenye kundi hili la mimba za utotoni.

.

Point yangu ni kwamba,mimba za utotoni zina madhara kila kona katika maisha ya mhusika,Lakini pia jamii yake.

.

Madhara ni pamoja na mtoto kufukuzwa shule, kupoteza Dira ya maisha,

Lakini pia kupatwa na madhara makubwa ya kiafya kama kujifungua kwa Upasuaji,Kupoteza maisha wakati wa kujifungua n.k.

.

Takwimu zinaonyesha kuwa asilimia kubwa ya wanawake waliopata mimba au ujauzito katika umri mdogo hujifungua kwa UPASUAJI.

.

Maisha ya kuwa mama Yanahitaji maandalizi, Swala la Mimba za utotoni huchangiwa na sababu nyingi,ikiwemo hali ya kiuchumi,vishawishi, Mambo ya mila pia kama swala la NDOA ZA UTOTONI.

@Naomba utambue mimba za utotoni huharibu maisha ya mwanamke,

Kemea Mimba za utotoni kwenye jamii yako, Kwa pamoja tunaweza kudhibiti Mimba za Utotoni.

#mimbazautotoni #jamii

#Dr.ombenimkumbwa

KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA JUU YA TATIZO LOLOTE TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.

Karibu Sana..!!!

Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.