Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
News

Usafi wa Mikono huokoa mamilioni ya maisha kila mwaka

Usafi wa Mikono huokoa mamilioni ya maisha kila mwaka:

Usafi wa Mikono huokoa mamilioni ya maisha kila mwaka unapofanywa kwa wakati unaofaa na kwa njia sahihi wakati wa utoaji wa huduma za afya.

Ni hitaji la chini kabisa kwa kila kituo cha afya duniani,

Hakikisha unanawa mikono kila mara kwa wakati sahihi, ili kuzuia magonjwa mbali mbali.

Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.