Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
News

Hapa kuna nini cha kufanya wakati kuna mlipuko wa kipindupindu katika eneo lako

Kipindupindu ni ugonjwa unaohusisha mtu kuharisha sana unaosababishwa na Vibrio cholerae,

Na unaosambazwa hasa kwa kula au kunywa chakula au maji machafu.

Ili kupunguza hatari ya wewe au wapendwa wako kuugua, hapa kuna nini cha kufanya wakati kuna mlipuko wa kipindupindu katika eneo lako:

1. Hakikisha unakunywa maji safi na Salama

2. Hakikisha unatumia maji Safi na Salama wakati wa kuosha vyombo,kuandaa chakula n.k.

3. Hakikisha unanawa mikono yako kwa maji Safi na Sabuni

  • Kabla ya kula
  • Kabla ya kupika
  • Baada ya kutoka chooni
  • Baada ya kubadilisha Diaper za mtoto n.k

4. Hakikisha chakula kinapikwa na Kuiva vizuri

5. Funika chakula chako vizuri au kula mara moja baada ya chakula kupikwa

6. Epuka kuweka Maji ya kunywa karibu na eneo La chooni, n.k

Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.