Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
Magonjwa

MAPAFU KUJAA MAJI,chanzo,dalili na Tiba yake

Mapafu kujaa maji,chanzo,dalili na matibabu yake

 ➡️ Tatizo la mapafu kujaa Maji ni tatizo linalohitaji matibabu ya haraka na wakati mwingine lisipozibitiwa vizuri huweza kusababisha kifo. 

 DALILI ZA TATIZO LA MAPAFU KUJAA MAJI

 Ishara na dalili za tatizo la mapafu kujaa Maji zinaweza kuonekana ghafla au kutokea baada ya muda.

  Ishara na dalili hizo za mapafu kujaa maji ni pamoja na;

(1) Dalili za Awali za mapafu kujaa maji

  •  Kupata Shida wakati wa kupumua (dyspnea) au kupumua kwa pumzi kali 
  • Hisia ya kukosa hewa au kuzama ambayo hutokea wakati wa kulala
  • Kikohozi ambacho ni kikali na kinachoweza kuambatana na  kutokwa na damu 
  • Kuhisi baridi kwenye Ngozi ya mwili
  • Mapigo ya moyo kwenda mbio 

(2) Dalili za Muda Mrefu za mapafu kujaa maji

 Ishara na dalili za muda mrefu (sugu) za mapafu kujaa maji ni pamoja na;

  •  Ugumu wa kupumua wakati umelala 
  • Kupata kikohozi hasa wakati wa Usku ukiwa umekaaa
  • Kupumua kwa pumzi kuliko kawaida wakati unafanya kazi
  • Kuongezeka uzito kwa haraka
  • Kuvimba Miguu pamoja na Uchovu wa mwili

 VIPIMO VYA MAPAFU KUJAA MAJI

Vipimo vya tatizo la mapafu kujaa maji;

– Ni pamoja na Picha ya Kifua (X-ray)

– Ultrasound ya Kifua

– Vipimo vya Damu

– Thoracentesis

– CT-Scan

MATIBABU YA TATIZO LA MAPAFU KUJAA MAJI

Kama Una dalili hizi za mapafu kujaa maji ni vizuri kufika Hospital haraka kwa Ajili ya Uchunguzi na Kupata Matibabu sahihi kulingana na tatizo lako au chanzo cha tatizo lako.

Hitimisho

Tatizo la mapafu kujaa maji huweza kuhusisha dalili mbali mbali, kuna dalili za muda mrefu pamoja na dalili za awali,

Ishara na dalili hizo za mapafu kujaa maji ni pamoja na;

(1) Dalili za Awali za mapafu kujaa maji

  •  Kupata Shida wakati wa kupumua (dyspnea) au kupumua kwa pumzi kali
  • Hisia ya kukosa hewa au kuzama ambayo hutokea wakati wa kulala
  • Kikohozi ambacho ni kikali na kinachoweza kuambatana na  kutokwa na damu
  • Kuhisi baridi kwenye Ngozi ya mwili
  • Mapigo ya moyo kwenda mbio

(2) Dalili za Muda Mrefu za mapafu kujaa maji

Ishara na dalili za muda mrefu (sugu) za mapafu kujaa maji ni pamoja na;

  •  Ugumu wa kupumua wakati umelala
  • Kupata kikohozi hasa wakati wa Usku ukiwa umekaaa
  • Kupumua kwa pumzi kuliko kawaida wakati unafanya kazi
  • Kuongezeka uzito kwa haraka
  • Kuvimba Miguu pamoja na Uchovu wa mwili

Kumbuka:Wahi hospital mapema kama una dalili hizi za tatizo la mapafu kujaa Maji,ili kupata Vipimo Zaidi.

Pia,Zingatia baadhi ya Vitu muhimu kwa afya ya mapafu kwa ujumla,kama vile; kuepuka kabsa Uvutaji wa Sigara,tumbaku(Tobacco) n.k

KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.

Karibu Sana..!!!

Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.