Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
Magonjwa

WHO yatangaza kuwa COVID-19 sio ugonjwa wa dharura tena(global health emergence)

WHO yatangaza kuwa COVID-19 sio ugonjwa wa dharura tena(global health emergence)

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani(WHO), Dr. Tedros Adhanom Ghebreyesus alisema jana;

Kamati ya Dharura ya COVID19 ilikutana kwa mara ya 15 na ilipendekeza kwake atangaze kusitishwa kwa COVID19 kama ugonjwa wa dharura ya afya kwa umma inayohusu kimataifa yaani “a Global health emergence”, na Alikubali ushauri huo.

Kwa matumaini makubwa ninatangaza COVID-19 Sio tena dharura ya afya ya kimataifa.

Haya hapa chini ni maneno yake Dr.Tedros;

“Yesterday, the #COVID19 Emergency Committee met for the 15th time and recommended to me that I declare an end to the public health emergency of international concern. I have accepted that advice.

With great hope I declare COVID-19 over as a global health emergency”.

Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.