Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
Magonjwa

Mnamo Mwaka 1988 polio ilienea katika nchi 125+ na kupooza takriban watoto 1000 kwa siku

Mnamo Mwaka 1988 polio ilienea katika nchi 125+ na kupooza takriban watoto 1000 kwa siku.

Kwa Mujibu wa takwimu za shirika la Afya duniani(WHO);

Mnamo Mwaka 1988 Ugonjwa wa polio Ulienea katika nchi zaidi ya 125+ na kupooza takriban watoto 1000 kwa siku,

Lakini baada ya Utoaji wa chanjo ya Polio kuanza, ilisaidia sana, matukio ya polio yamepungua kwa asilimia 99% tangu wakati huo,

Ingawa bado kazi ya Kuondoa kabsa Ugonjwa wa Polio bado haijakamilika.

NB: Hakikisha Mtoto wako anapata Chanjo ya Kuzuia Ugonjwa wa Polio, Ugonjwa ambayo huweza kusababisha kupooza,pamoja na ulemavu wa kudumu kwa mtu.

Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.