Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
News

Nchini Ghana, watu 179 765 walichangia damu mwaka 2022, huku watu 45 463 wakichangia kwa hiari

Nchini Ghana, watu 179 765 walichangia damu mwaka 2022, huku watu 45 463 wakichangia damu kwa hiari.

Na kwa wachangiaji hawa wa hiari wa damu, uzoefu kama ule wa Nana Brakatuo na Afotey mdogo unaendelea kuwahamasisha na kuwapeleka kwenye benki ya kitaifa ya damu ili kuchangia.

“Ninaamini ni jukumu letu la pamoja kama raia kuhakikisha kwamba damu inapatikana kwa urahisi kwa wote wanaoihitaji,” asema Henry Nii Abossey Thompson, ambaye amechangia damu mara 100 tangu 1976. ”

Fahirisi ya ukusanyaji wa damu yaani “The blood collection index (BCI)” kwa kila watu 1000 iliongezeka kutoka 5.7 mwaka 2021 hadi 5.8 mwaka 2022.

Hata hivyo, hii bado iko chini ya ile iliyopendekezwa na WHO ya kukusanya Units 10 kwa kila watu 1,000 wanaohitajika kukidhi mahitaji ya kimsingi ya kupewa damu,

Kutokana na hali hiyo, Huduma ya Taifa ya Damu ya Ghana, ambayo imekuwa ikiongoza katika kuhamasisha damu kote nchini, inazidisha juhudi za kuhimiza uchangiaji wa hiari wa damu kila siku.

#Ghana #uchangiajiwadamu

Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.