Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
News

Hafla ya kumpongeza mtoto wa Mwajuma Juma Athuman ya kufikisha Gram 1000 (1kg)

Hafla ya kumpongeza mtoto wa Mwajuma Juma Athuman ya kufikisha Gram 1000 (1kg)

Hafla ya kumpongeza mtoto wa Mwajuma Juma Athuman ya kufikisha Gram 1000 (1kg) aliezaliwa na uzito wa Gram 500 na kupata huduma katika kitengo Cha watoto wachanga (NICU) hospital ya wilaya Kiomboi,

Hafla hiyo imehudhuriwa na Mganga Mfawidhi wa hospitali ya Wilaya ya Iramba Dr Abel Mafuru, watumishi wa Kitengo cha watoto wachanga,(NICU) na watumishi wengine wa vitengo mbalimbali vilivyopo katika hospitali ya Wilaya ya Iramba Old Kiomboi
#mtuniafya #Tunaboreshaafya

Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.