Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
News

Huduma ya kuzibua mishipa ya damu iliyoziba na kusababisha matatizo ya nguvu za kiume kuanza Rasmi

Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) inatarajia kuanzisha huduma nyingine mpya kwa kushirikiana na Mabingwa wa Hospitali ya BLK iliyopo nchini India ya kuzibua mishipa ya damu iliyoziba na kusababisha matatizo ya nguvu za kiume kupungua ili kuwasaidia Wagonjwa wanaosumbuliwa na matatizo ya nguvu za kiume.

Akiongea na Waandishi wa Habari leo July 27,2023, Mkurugenzi Mtendaji wa JKCI, Dkt. Peter Kisenge amesema huduma hiyo itaanza October mwaka huu.

“Tatizo la nguvu za kiume linaongezeka sana Tanzania kwa mishipa kuziba na linatokea saa kwa wenye Kisukari na Presha kubwa tutachunguza hilo kwa kuzibua hiyo mishipa na itakuwa matibabu endelevu”

Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.