Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
News

Flashi bomba ya maji ikiwa umekuwa mbali na nyumbani zaidi ya wiki moja

Kwa Mujibu wa Vituo vya kudhibiti na Kuzuia Magonjwa “The Centers for diseases control and Prevention-CDC” unashauriwa;

Kuflashi bomba za maji ikiwa umekuwa mbali na nyumbani zaidi ya wiki moja kabla ya kuanza kutumia Maji yake,

Flush your water pipes if you have been away from home more than a week

Fahamu, Viini vya magonjwa(Germs) vinaweza kukua ndani ya mabomba ya maji wakati kukiwa hakuna maji yanayopita au kutiririka kwenye bomba-running water,

Hii inaweza kusababisha maji ambayo utaanza kuyatumia kabla ya kuflash vizuri bomba la Maji kuwa na vimelea hivi vya magonjwa,

Na endapo utatumia maji haya unaweza kuwa kwenye hatari ya kuingiza vimelea hivi vya magonjwa mwilini mwako kwa njia mbali mbali ikiwemo;

  • Kupitia kunywa maji haya
  • Kutumia maji haya ukiwa chooni
  • Kutumia maji haya kuoshea vyombo
  • Kunawa Mikono n.k

CDC inashauri; Iwapo umekuwa mbali na nyumbani, Osha au Flashi bomba zako za maji kabla ya kuzitumia kwa kutiririsha maji baridi kwa dakika 2 kisha umimine au kuflash kwa maji moto kwa dakika 2 nyingine.

“If you’ve been away from home, flush your faucets before using them by running the cold water for 2 minutes and then running the hot water for another 2 minutes-CDC”

Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.