Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
Magonjwa

Vyakula Bora Zaidi Kwa Mtoto Anayeanza Kula Baada ya Kutimiza Umri wa Miezi 6

Vyakula bora zaidi vya kumuanzishia mtoto ni mbogamboga ,vyakula vitokanavyo na mizizi na matunda.

Kwanini mbogamboga na matunda?
Kwakuwa vyakula hivi vina hatari ndogo ya kumsababishia mtoto allergy(mzio) kutokana na kuwa na kiasi kidogo cha protini tofauti na vyakula vingine kama vile mayai,samaki,nyama n.k

Mfano wa vyakula hivyo ni mbogamboga aina ya spinach,mchicha,broccoli , carrots na matunda kama vile ndizi mbivu,parachichi,papai,apples.

Hata hivyo ili kumsaidia mtoto kumeng’enya matunda hayo ni vyema kwanza yakapikwa kwa mvuke(steam cooking) na pia matunda yawe yale yaliyoiva vizuri .

AIDHA,zingatia sheria ya siku 3”Three days rule” katika kumuanzishia chakula kipya!

Forum Manager

Content creator&editor (Ms.Asifiwe)Jukumu langu kwako ni kuhakikisha unapata elimu ya kutosha pamoja na Updates mbali mbali ndani ya http://cdp.pvh.mybluehost.me  Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.