Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
Magonjwa

KULEGEA KWA UKE BAADA YA KUZAA

KULEGEA KWA UKE

• • • • •

KULEGEA KWA UKE BAADA YA KUZAA

Fahamu kuhusu tatizo la Kulegea kwa Uke baada ya Kuzaa,Chanzo,dalili Pamoja na matibabu yake,ndani ya Makala hii.

Ubora wa Uke Unabadilika Kadiri ya Muda na Umri Unavyokwenda,

Fahamu kwamba vitu viwili vikubwa vinavyoathiri ubora na uwezo wa kutanuka na kusinyaa kwa uke ni umri na mara ngapi umezaa watoto. Kufanya ngono mara kwa mara na kubadilisha wanaume siyo tatizo na haviathiri uke wako.

 Kadiri unavozaa zaidi ndivyo misuli ya uke huchoka na kulegea, wanawake waliozaa zaidi ya mara moja huchoka zaidi. Umri pia kadiri unavosonga ndivyo uke huchoka zaidi hatakama uliwahi kujifunguaama laa.

Katika Makala hii tunachambua Zaidi kuhusu tatizo la Kulegea kwa Uke baada ya Kuzaa,Chanzo pamoja na Matibabu yake;

Kulegea Kwa Uke Kutokana na Umri

Unapofikia umri kuanzia miaka ya 40 utaanza kuona mabadiliko. Hii ni kutokana na kupungua kwa uzalishaji wa homoni ya estrogen pale unapokaribia ukomo wa hedhi(menopause), Utaanza kupata dalili kama vile;

  • Uke kusinyaa na  kuwa mdogo
  • Kukauka kwa uke
  • Kupungua kwa tindikali kwenye uke
  • Uwezo wa kutanuka kwa Uke kupungua n.k

Kulegea kwa Uke Kutokana na Kuzaa

Soma: Tatizo la Uke kujamba,Chanzo na Tiba

Ni kawaida kwa uke kulegea na kupungua ubora wake baada ya kujifungua. Hii inatokana na misuli ya uke kutanuka sana ili kuruhusu mtoto kupita. Baada ya kujifungua utagundua kwamba uke umebadilika kuliko ulivyokuwa mwanzo.

Usipate shaka maana hii ni hali ya kawaida kabisa kwa mwanamke lakini isichukue muda mrefu, maaan uke unatakiwa urudi katika ubora wake baada ya miezi kadhaa.

Japo haitarudi 100% kama shape ya mwanzo. Kama umejifungua mara nyingi zaidi basi uke utakuwa umetanuka zaidi na kupoteza lastiki yake kwa kiasi kikubwa. Najua hii ni habari mbaya kwa wengi lakini usipate shaka nitakuelekeza mazoezi ya kufanya pamoja na virutubisho vya kutumia ili kukaza uke na   kurudi kama zamani.

Hivo ndyo Vitu vikubwa viwili ambavyo tumechambua Kuhusu tatizo hili la Kulegea kwa Uke baada ya Kuzaa.

Jinsi ya Kukaza Misuli ya Uke Iliyolegea Kupitia Mazoezi ya Nyonga

Mazoezi ya nyonga ni njia nzuri na salama ya kukaza misuli ya uke inayoitwa(pelvic floor muscles).

Misuli hii inasaidia kuweka sapoti

  • kwenye Kibofu cha mkojo
  • Kwenye eneo la haja kubwa
  • Utumbo mdogo na
  • Mfuko wa mimba (uterus)

Misuli ya pelvic floor inapolegea kutokana na umri kwenda ama kuzaa: basi utaanza kupata dalili kama vile

– Kutoka kwa mkojo pasipo na hiyari yako

– Kujiskia hali ya kukojoa mara kwa mara

– Kupata maumivu ya nyonga na

– Maumivu wakati wa tendo la ndoa n.k

Mazoezi ya pelvic floor yanaweza kukusaidia kwa kesi za kurudisha ubora wa uke, lakini kama unashindwa kudhibiti mkojo mara kwa mara na kuvuja basi hakikisha unapata vipimo maana yaweza kuwa una shida ingine kubwa ya kiafya. Najua sasa unahamu ya kusikia kuhusu mazoezi haya basi na tuanze kuyachambua 

Kwanza unatakiwa kufahamu kuhusu misuli inayohusika katika kukusaidia kwenye safari yako ya kukaza uke.

✓ Fanya zoezi hili wakati unakojoa bana mkojo katikati.Ukifanikiwa zoezi hili basi tayari umetambua misuli yako ya kuitumia katika zoezi linalofuata, malizia kutoa mkojo iliobaki baada ya hapo fuata maelekezo haya;

Tafuta mahali pazuri pa kufanyia zoezi ukiwa nyumbani kwako, sehemu ambayo unaweza kulala chali ili tuanze zoezi,

Kumbuka misuli uliyokaza pale ulipokuwa unakojoa, basi tumia misuli hiyo hiyo.

✓ Kaza misuli yako kwa sekunde 5, kisha relax kwa sekunde 5 zingine

✓ Rudia zoezi hili mpaka awamu 5 kwa wakati mmoja unakaza unaachia

Kadiri unavoendelea na kulizoea zoezi hil basi ongeza muda wa kufanya,Kwanza unatakiwa kufahamu kuhusu misuli inayohusika katika kukusaidia kwenye safari yako ya kukaza uke.

ZINGATIA:

Fanya zoezi hili wakati unakojoa bana mkojo katikati.Ukifanikiwa zoezi hili basi tayari umetambua misuli yako ya kuitumia katika zoezi linalofuata, malizia kutoa mkojo iliobaki baada ya hapo fuata maelekezo haya

Tafuta mahali pazuri pa kufanyia zoezi ukiwa nyumbani kwako, sehemu ambayo unaweza kulala chali ili tuanze zoezi

Kumbuka misuli uliyokaza pale ulipokuwa unakojoa, basi tumia misuli hiyo hiyo.

Kaza misuli yako kwa sekunde 5, kisha relax kwa sekunde 5 zingine

Rudia zoezi hili mpaka awamu 5 kwa wakati mmoja unakaza unaachia

Kadiri unavoendelea na kulizoea zoezi hil basi ongeza muda wa kufanya zoezi hadi sekunde 10 kutoka sekunde 5 za awali. Hakikisha usitumie misuli ya tako, tumia misuli ya ndani ya uke na nyonga (pelvic floor muscles). Kwa matokeo mazuri zaidi fanya seti 3 za mazoezi ya kegel mara 5 mpaka 10 kwa siku.

 zoezi hadi sekunde 10 kutoka sekunde 5 za awali. Hakikisha usitumie misuli ya tako, tumia misuli ya ndani ya uke na nyonga (pelvic floor muscles). Kwa matokeo mazuri zaidi fanya seti 3 za mazoezi ya kegel mara 5 mpaka 10 kwa siku.

FAQs: Maswali ambayo huulizwa Mara kwa Mara

Je,nini chanzo cha Kulegea kwa Uke baada ya Kuzaa?

Ni kawaida kwa uke kulegea na kupungua ubora wake baada ya kujifungua. Hii inatokana na misuli ya uke kutanuka sana ili kuruhusu mtoto kupita. Baada ya kujifungua utagundua kwamba uke umebadilika kuliko ulivyokuwa mwanzo.

Hitimisho

Moja ya vyanzo vikubwa vya Tatizo la Uke kulegea ni Pamoja na Umri wa Mwanamke na Kulegea kwa Uke baada ya Kuzaa,

Lakini kwa bahati Nzuri zipo njia mbali mbali za kudhibiti tatizo hili, na moja ya njia kubwa ni Kufanya Mazoezi ya nyonga,

Mazoezi ya nyonga ni njia nzuri na salama ya kukaza misuli ya uke inayoitwa(pelvic floor muscles).

KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.

 

Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.