Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
Magonjwa

Dalili za Kisonono huchukua muda gani kuonekana

Dalili za Kisonono huchukua muda gani kuonekana?

Kwa kawaida Dalili za Kisonono huweza kuonekana ndani ya wiki mbili(au kati ya siku 1 mpaka 10), Ingawa wakati mwingine huweza kuchukua miezi kadhaa kujitokeza.

Kwa Mujibu wa NHS:

Takriban Mwanaume 1 kati ya wanaume 10 walioambukizwa na wanawake 5 kati ya wanawake 10 walioambukizwa hawatapata dalili zozote za wazi, ambayo ina maana kwamba hali hiyo inaweza kwenda bila kutibiwa kwa muda fulani.

SOMA Zaidi hapa:Dalili za Ugonjwa wa Kisonono na muda wa kuonekana kwake.

Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.