Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
News

Wahamiaji 170 Wamerejeshwa Nchini Senegal

Takriban wahamiaji 170 wamerejeshwa nchini Senegal baada ya kuwa njia panda kwa wiki nzima ndani ya boti ya uwokozi ya Uhispania.

Naibu meya wa Dakar Lamine Ndiaye amethibitisha kwamba wahamiaji 168
wamekabidhiwa kwa maafisa wa Senegal.

Tangu Alhamisi wiki iliyopita wahamiaji hao walikuwa wamekwama ndani ya meli ya ulinzi wa raia ya Uhispania karibu na nchi ya Kaskazini Magharibi mwa Afrika ya Mauritania baada ya mamlaka za nchi hiyo kukataa kuwaruhusu kuteremka.

Nini kifanywe kuzuia safari hatari zinazofanywa na wahamiaji wa Kiafrika kujaribu kuingia Ulaya?

DailyStories

Karibu DailyStories Kwa Taarifa Zote Muhimu ndani na Nje. More Updates everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me  Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.