Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
News

TANZIA: Mwimbaji BONGOFLEVA Haitham Kim Amefariki Dunia Ijumaa

TANZIA: Mwimbaji BONGOFLEVA Haitham Kim Amefariki Dunia Ijumaa

Mwimbaji wa Bongofleva Haitham Kim ambaye hivi karibuni Wasanii na Wadau wengine walianzisha kampeni ya kusaidia kuchangisha pesa kwa ajili ya matibabu yake amefariki tarehe 1 Septemba siku ya Ijumaa katika Hospitali ya Rufaa ya Temeke Jijini Dar es salaam.

BNB ambaye ni Rafiki wa Mume wa Marehemu aliyekuwa akisaidia kumuuguza Haitham, ameithibitishia  kuwa ni kweli Haitham amefariki leo Hospitalini hapo.

Bryson ambaye ni Mume wa Marehemu alisema hali ya Haitham ilibadilika ghafla siku saba zilizopita akisumbuliwa na upumuaji ambapo ilianza kama homa ya kawaida lakini baadaye akawa anakosa pumzi hadi kupelekea kuwekewa mashine na kuchomwa sindano za kila siku zinazogharimu shilingi laki 7 kwa siku

Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.