Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
Magonjwa

Chanzo cha Tatizo la kuhisi Kuungua MDOMONI

Chanzo cha Tatizo la kuhisi Kuungua MDOMONI

• • • • •

TATIZO LA KUHISI MDOMO KUUNGUA MOTO KILA MARA(Burning mouth syndrome)

Tatizo hili huweza kumtokea mtu yeyote, na huhusisha mtu kupata hisia za kuungua moto kwenye mdomo,ndani ya ulimi, fizi zote n.k

Tatizo hili kwa kitaalam hujulikana kama burning mouth syndrome.

CHANZO CHA TATIZO HILI LA MDOMO KUUNGUA MOTO

– Tatizo hili huanza gafla na kwa bahati mbaya mpaka sasa hakuna sababu yoyote ambayo inajulikana kama chanzo cha tatizo hili. Ila kuna baadhi ya sababu ambazo huweza kuongeza uwezekano wa mtu kupata shida hii ya Burning mouth syndrome kama vile;

✓ Matumizi ya baadhi ya dawa

✓ Reaction dhidi ya chakula flani ulichokula

✓ Maambukizi ya fangasi au bacteria mdomoni

✓ Hali ya mdomo kuwa mkavu sana

✓ Allergy

✓ Ukosefu au upungufu wa vitamins muhimu mwilini kama vile Vitamin B12, Vitamin B9 N.k

DALILI ZA TATIZO HILI NI PAMOJA NA;

– Mtu kuanza kupata kiu sana mara kwa mara

– Mdomo kukauka kuliko kawaida

– Mdomo kuhisi hali ya kuchoma choma na kuungua moto kila mara

– Mdomo kuwa mchungu kila mara

– Na kupoteza kabsa ladha ya chakula

MATIBABU YA TATIZO HILI

– Matibabu ya shida hii hutegemea na chanzo chake,japo zipo dawa mbali mbali ambazo huweza kutumika kama vile Clonezapam n.k

Video; Elimu ya afya ya uzazi

KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.

Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.