Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
News

Dalili za Ugonjwa wa kisukari kuchanganywa na dalili za tatizo la wasiwasi(anxiety disorder)

Dalili za Ugonjwa wa kisukari kuchanganywa na dalili za tatizo la wasiwasi(anxiety disorder):

Kwa Ugonjwa wa kisukari usiodhibitiwa, kupanda kwa sukari na kushuka kunaweza kusababisha kutetemeka, jasho, na kasi ya moyo kuongezeka,

Pia inaweza kusababisha maumivu ya kichwa na kuhisi kichefuchefu, pia.

Dalili hizi wakati mwingine huchanganywa na dalili za tatizo la wasiwasi(anxiety disorder).

Hivo ni muhimu kufanya vipimo kwanza,kama unapitia hali ya namna hii.!!!

Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.