Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
Magonjwa

Kukaa na Pedi kwa Muda Mrefu huweza kuongeza hatari ya Mwanamke kupata magonjwa mbali mbali ikiwemo Fangasi

Kukaa na Pedi kwa Muda Mrefu huweza kuongeza hatari ya Mwanamke kupata magonjwa mbali mbali ikiwemo Fangasi.

Ni mara ngapi unaweza kuhitaji kubadilisha pedi yako kila siku?

Hii inaweza kutegemea kiwango chako cha Hedhi unachopata, jinsi mtiririko wako ulivyo mzito, na aina ya pedi unayotumia. Lakini unapaswa kuibadilisha kabla haijajaa.

Kwa Mujibu wa “The American College of Obstetricians and Gynecologists (ACOG)” wanapendekeza ubadilishe pedi yako angalau kila baada ya saa 4 hadi 8, lakini hayo ni masaa ya jumla tu.

Ni mara ngapi unabadilisha pedi yako inategemea na sababu mbali mbali ikiwemo; mtiririko wako, aina ya pedi unayotumia n.k.

Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.