Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
Magonjwa

Tahadhari kwenye matumizi ya dawa jamii ya paracetamol

PARACETUM/PANADOL

Hii ni jamii ya dawa ambayo hutumika sana katika maisha ya Kila siku ya Watu. Dawa hii hutibu matatizo mbalimbali Kama;

– Maumivu ya aina yoyote kama vile,maumivu ya Kichwa,Kiuno,kidonda n.k

– Dawa hii husaidia kushusha Homa kwa mtu yeyote, mwenye umri wowote

– Na Mengine.

ANGALIZO; Dawa hii hutakiwa kutumika kwa dose sahihi kwa Umri sahihi,kwani sio dawa nyepesi kama wengi wanavyodhani,

Hapa tunakumbuka msemo ambayo husema,ukitaka Kujua 1×3 sio sawa na 3×1 basi wewe andikiwa Dawa 1×3 Halafu umeze 3×1.

Lengo la Msemo huu ni kukumbusha kuzingatia matumizi sahihi ya Dose za Dawa.

Kwani dawa huweza kugeuka kuwa sumu,badala ya kukuponya basi ikakuua.

KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.

Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.