Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
News

Tunapitia Maumivu yasiyovumilika-Familia ya Lokassa ya Mbongo

Tunapitia Maumivu yasiyovumilika-Familia ya Lokassa ya Mbongo

“Ni fedheha”, miezi saba baada ya kifo chake bado hajazikwa.

Familia ya mpiga gitaa maarufu wa Congo Lokassa ya Mbongo inasema inapitia “maumivu yasiyovumilika” na “fedheha” wakati wakisubiri usaidizi wa serikali ili kumzika mpiga gitaa huyo ikiwa ni karibu miezi saba baada ya kifo chake.

Mwanawe André Marie Lokassa aliambia BBC kwamba serikali iliahidi kusaidia kuandaa mazishi ambayo “atastahili” kutokana na jina la nyota huyo wa muziki, lakini hadi sasa imeshindwa kufanya hivyo.

Bw Lokassa aliambia BBC kwamba familia hiyo iliwasilisha ombi la bajeti ya $75,000 (£61,000) kwa ajili ya mazishi, lakini bado halijaidhinishwa, na kuacha familia katika sintofahamu.

DailyStories

Karibu DailyStories Kwa Taarifa Zote Muhimu ndani na Nje. More Updates everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me  Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.