Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
News

Mwigizaji Michael J. Fox karibu apoteze mkono wake baada ya kupata maambukizi

Mwigizaji Michael J. Fox karibu apoteze mkono wake baada ya kupata maambukizi.

Nyota wa Hollywood, Michael J. Fox amefunguka kuhusu matatizo ya kiafya aliyokuwa nayo siku zilizopita,

Katika mahojiano yake ya hivi majuzi, Michael aliweka wazi na kueleza stori ya kustaajabisha kuhusu kiungo ambacho karibu akipoteze. Alisema “Mkono wangu uliambukizwa na nusura niupoteze. Ilikuwa tsunami ya bahati mbaya.”

Suala la mkono ni moja tu ya matatizo ambayo amekumbana nayo. Alisema amevunjika mikono miwili, bega, orbital/shavu lake, na mkono wake mmoja. Pia alifanyiwa upasuaji wa uvimbe wa uti wa mgongo.

Fox aliongeza kwa kusema;

“One day I’ll run out of gas … Certainly, if I were to pass away tomorrow, it would be premature, but it wouldn’t be unheard of. And so, no, I don’t fear that.”

Fox amekuwa akipambana na ugonjwa wa Parkinson tangu mwaka 1991.

Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.