Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
News

Emilian Mallya; Mwanafunzi bora wa Stashahada ya Uzamili katika Diplomasia ya Uchumi

Afisa Uhusiano wa Clouds Media Group, Emilian Mallya ametajwa kuwa Mwanafunzi bora wa Stashahada ya Uzamili katika Diplomasia ya Uchumi katika mahafali ya 26 ya Kituo cha Uhusiano wa Kimataifa cha Dkt Salim Ahmed Salim yaliyofanyika
leo November 30, 2023 Jijini Dar es salaam.

Emilian Mallya ametunikiwa cheti cha pongezi na Naibu Waziri wa Mambo Nje, Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk aliyemwakilisha Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, January Yusuf Makamba.

DailyStories

Karibu DailyStories Kwa Taarifa Zote Muhimu ndani na Nje. More Updates everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me  Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.