Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
News

Taarifa kuhusu Video inayosambaa mtandaoni kuhusu watumishi kumwagia dripu mwenzao siku yake ya kuzaliwa

Taarifa kwa Umma kutoka Hospitali Binafsi ya Sakamu Geita.

Uongozi wa Hoapitali ya Samaku umekiri kuwa watumishi walio kwenye video inayosambaa mtandaoni ikiwaonyesha wakisheherekea siku ya kuzaliwa kwa mtumishi mwenzao kwa kumwagia dripu kuwa ni wa Hospitali Binafsi ya Sakamu iliyopo Geita.

Wizara inaupongeza Uongozi wa Hospitali hii kwa kuchukua hatua za haraka za uwajibishaji. Wizara inaendelea kuwakumbusha watumishi wa Afya kuzingatia maadili ya taaluma zao na kutoa huduma bora za afya kwa wananchi.

DailyStories

Karibu DailyStories Kwa Taarifa Zote Muhimu ndani na Nje. More Updates everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me  Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.