Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
News

Saratani ya Tezi Dume, Rais wa Namibia kufanyiwa matibabu baada ya kugundulika kuwa na saratani

Saratani ya Tezi Dume, Rais wa Namibia kufanyiwa matibabu baada ya kugundulika kuwa na saratani

Rais wa Namibia Hage Geingob atakuwa akipatiwa matibabu ya saratani baada ya kufanyiwa uchunguzi wa kimatibabu na kugunduliwa kuwa na “seli za saratani”.

Kwa mujibu wa Taarifa za siku ya Ijumaa, Januari 19, Zinasema kwamba “kama sehemu ya uchunguzi wa kawaida wa kila mwaka wa matibabu” kiongozi huyo mwenye umri wa miaka 82 alifanyiwa uchunguzi wa colonoscopy na gastroscopy mnamo Januari 8, ikifuatiwa na uchunguzi wa biopsy.

“Kwa ushauri wa timu ya madaktari, Rais Geingob atafanya matibabu sahihi ili kukabiliana na seli za saratani,”

Ofisi ya Geingob haikutoa maelezo zaidi juu ya utambuzi(diagnosis) wake lakini ilisema ataendelea kufanya kazi.

Geingob, ambaye amekuwa rais wa taifa la kusini mwa Afrika tangu 2015, anatarajiwa kumaliza muhula wake wa pili na wa mwisho madarakani mwaka huu.

Mnamo 2013, Geingob alifanyiwa upasuaji wa ubongo. Mwaka mmoja baadaye, aliambia umma kwamba alikuwa amepona Saratani ya Tezi Dume(Prostate Cancer).

Mnamo mwaka wa 2023, kiongozi huyo wa muda mrefu na mwenye sauti kubwa, alifanyiwa upasuaji wa aorta katika nchi jirani ya Afrika Kusini.

Namibia will hold elections to choose a new leader in November. Geingob will not be standing for re-election. Last year, the governing party, the South West Africa People’s Organisation (SWAPO), named Netumbo Nandi-Ndaitwah as its candidate for the election. She is the party’s vice-president and Namibia’s current deputy prime minister.

Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass