Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
News

Maiti mochwari kuzuiliwa, Wizara ya Afya yatoa ufafanuzi

Maiti mochwari  kuzuiliwa, Wizara ya Afya yatoa ufafanuzi.

Wizara ya Afya inaendelea kuzikumbusha Hospitali zote za Umma kusimamia na kutekeleza Waraka huu  Namba 1 wa Mwaka 2021 wa KUTOZUIA MAITI NA KUWEKA UTARATIBU WA KULIPIA GHARAMA ZA MATIBABU NA MADENI.

Waraka huu ulisainiwa na aliyekuwa Katibu Mkuu Wizara ya Afya wakati huo Prof. Abel Makubi na kuanza kutekelezwa mara moja.

Wizara ya Afya inaendelea kuzikumbusha Hospitali zote za Umma kusimamia na kutekeleza Waraka huu Namba 1 wa Mwaka 2021 wa KUTOZUIA MAITI NA KUWEKA UTARATIBU WA KULIPIA GHARAMA ZA MATIBABU NA MADENI. Waraka huu ulisainiwa na aliyekuwa Katibu Mkuu Wizara ya Afya wakati huo Prof.… pic.twitter.com/u4Ag3vRo4s

— Wizara ya Afya Tanzania ?? (@wizara_afyatz) January 21, 2024

Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass